Mwishoni mwa wiki iliyopita katika ufukwe wa Azura ilifanyika party ya ‘Just Got Paid’ iliyowakutanisha wakazi mbalimbali wa Dar es Sala...
Mwishoni mwa wiki iliyopita katika ufukwe wa Azura ilifanyika
party ya ‘Just Got Paid’ iliyowakutanisha wakazi mbalimbali wa Dar es
Salaam kusherehekea kuumalizia mwezi salama. Party hiyo iliyodhaminiwa
na bia ya Castle Lite na kufana ilitawaliwa na burudani ya muziki toka
kwa Ma-DJ wakali ikiambatana na Castle Lite. Hizi ni baadhi ya taswira
toka katika Party hiyo.