Archive Pages Design$type=blogging

Happy Birthday Diamond: Mmanyema mwenye uchaga kipesa, uhaya kisifa na uzungu kikazi - Msikilize Pia diamond Akifunguka Hapa.

Kwa mujibu wa meneja wake Babu Tale, Diamond ni mmanyema mwenye uchaga kipesa, uhaya kisifa na uzungu kikazi. “Acha niseme hili tangu...

Kwa mujibu wa meneja wake Babu Tale, Diamond ni mmanyema mwenye uchaga kipesa, uhaya kisifa na uzungu kikazi.
“Acha niseme hili tangu siku tunakutana mpaka leo aujawai kukosa kunipa shikamoo ni ishara ya heshima ya kweli na sio ya kuigiza,” ameandika Tale kwenye ujumbe wa kumpongeza staa huyo kwenye siku yake ya kuzaliwa, Oct 2.
Staa huyo anafanya bonge la party kujipongeza leo na pia ametoa nafasi chache kwa mashabiki wake kuhudhuria.
“Najua wote tungependa tufurahie kwa pamoja siku yangu hii ya kuzaliwa, lakini kwa bahati mbaya hakuna ukumbi utaoweza kututosheleza… sasa tafadhali naomba niambie, unahisi ni kwanini nikupatie wewe kadi hii ili uwe muwakilishi wa Mashabiki zangu??? (nataka nitoe kadi kwa watu 5),” ameandika kwenye ukurasa wa Facebook.
Diamond anasherehekea siku yake ya kuzaliwa siku chache tu baada ya ile ya mpenzi wake Wema ambapo alimzawadia gari jipya. Kupitia Instagram, Wema ameandika: Happy Birthday to you my original soul… ngoja nitulie kwanza ndo niandike caption maana nina mengi kwa kweli… ila jua nakupenda sana…

Msikilize Diamond Hapa Chini Akifunguka Leo:- 

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Happy Birthday Diamond: Mmanyema mwenye uchaga kipesa, uhaya kisifa na uzungu kikazi - Msikilize Pia diamond Akifunguka Hapa.
Happy Birthday Diamond: Mmanyema mwenye uchaga kipesa, uhaya kisifa na uzungu kikazi - Msikilize Pia diamond Akifunguka Hapa.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjCkA_EBQC591YTTIeq1qYx3hJk4D81LOu47QvqaH4zhVwXm2eI3_FDAoEgB3Of-SqxSAppgKQsNvF5YcxeTlDLkgswYTPY6yJUm-jM92aZ-1x_hXcjWp7LVrNrp3siWIc3xTJfNOsND9OZ/s1600/10666280_304619959745459_704373199_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjCkA_EBQC591YTTIeq1qYx3hJk4D81LOu47QvqaH4zhVwXm2eI3_FDAoEgB3Of-SqxSAppgKQsNvF5YcxeTlDLkgswYTPY6yJUm-jM92aZ-1x_hXcjWp7LVrNrp3siWIc3xTJfNOsND9OZ/s72-c/10666280_304619959745459_704373199_n.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/happy-birthday-diamond-mmanyema-mwenye.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/happy-birthday-diamond-mmanyema-mwenye.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago