Muongozaji wa video ya Weusi, Gere, Mkenya Enos Oliki ndiye aliyeongoza video mpya ya wimbo wa Shaa. Hii ni picha aliyopost muongozaji ...
Muongozaji wa video ya Weusi, Gere, Mkenya Enos Oliki ndiye aliyeongoza video mpya ya wimbo wa Shaa.
Hii ni picha aliyopost muongozaji huyo kwenye akaunti yake ya Instagram.
Hii ni picha aliyopost muongozaji huyo kwenye akaunti yake ya Instagram.