Archive Pages Design$type=blogging

DAVINA: NATESEKA KUZUIWA KUMUONA MWANANGU

  Staa wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina. STAA wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’ amefunguka kuwa yuko katika mateso ...


 Staa wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina.
STAA wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’ amefunguka kuwa yuko katika mateso makali baada ya kuzuiwa kumuona mwanaye kwa takriban miezi mitatu na mzazi mwenzake.
Akizungumza na mwandishi wetu, Davina alisema kabla hajaingia kwenye ndoa yake ya sasa, alizaa mtoto mmoja na mwanaume ambaye ni dairekta mkubwa wa filamu nchini lakini mwanaume huyo alimchukua mtoto tangu akiwa na miaka miwili hadi sasa ana miaka mitano kila akiomba kumuona mwanaye, hapewi ushirikiano.
“Hakuna kitu kinachouma kama mtu kunikataza kuiona damu yangu, nimebeba mimba kwa miezi tisa halafu mwanangu hataki nimuone, nashindwa kumuelewa sijui ni kosa gani kubwa nimefanya hadi nistahili adhabu hii,” alisema Davina.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: DAVINA: NATESEKA KUZUIWA KUMUONA MWANANGU
DAVINA: NATESEKA KUZUIWA KUMUONA MWANANGU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivKvrZ0CEBHhR3SJnOwkfd61PRuB2T4fsormFIAFztPiZO6Z1wPeriOooSLLAudTN0TIFJXr6-5KlqCfE-4YtSMz2f4seb4IqT6I19mbCo2hgZihr0Gmv1yGSAdPFQ_Rs46QHwoRINzGk/s1600/davina.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivKvrZ0CEBHhR3SJnOwkfd61PRuB2T4fsormFIAFztPiZO6Z1wPeriOooSLLAudTN0TIFJXr6-5KlqCfE-4YtSMz2f4seb4IqT6I19mbCo2hgZihr0Gmv1yGSAdPFQ_Rs46QHwoRINzGk/s72-c/davina.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/davina-nateseka-kuzuiwa-kumuona-mwanangu.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/davina-nateseka-kuzuiwa-kumuona-mwanangu.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago