post-feature-image
HomeBurudani

Baada ya Kumkimbia Mumewe, Aunt Ezekiel Adungwa Mimba na Mume wa Mtu

  Ama kweli kuolewa kunazidi kuwa kama fashion. Mnamo mwaka 2012 Aunt Ezekiel aliolewa  kwa mbwembwe zote na kijana Sunday Del Monte na b...

 
Ama kweli kuolewa kunazidi kuwa kama fashion. Mnamo mwaka 2012 Aunt Ezekiel aliolewa  kwa mbwembwe zote na kijana Sunday Del Monte na baadae kwenda kuishia nae huko Dubai. Sunday wakati huo pesa ilikua si tatizo kwake na hata kukubali kuolewa na kijana yule ilikua ni kufata pesa zake.
japo baadae aliwekwa kizuizini kutokana na kuishi huko Dubai Kinyume na sheria na hadi sasa  nasikia bado yuko nyuma ya Nondo akisubiria mwisho wa hatma yake. Baada ya sakata hilo aunt Ezekiel aliamua Kuamua kurudi Bongo na kuendelea kula bata kama kawa kama dawa
Hivi sasa Mwigizaji huyo mashuhuri kapachikwa Mimba na inaedaiwa kuwa mimba hiyo ni ya mume  wa mume wa mtu. Habari za mimba hiyo alikua hataki zijulikane na alikua akijificha ficha sema ndio  wambea tukazinyaka.......Alikua anasema anatamani kupata mtoto sasa aliyokua anatamani yametimia.
Happy birthday Mama Kijacho, Picha hiyo jana kwenye birthday nadhani unaona mwenyewe
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Baada ya Kumkimbia Mumewe, Aunt Ezekiel Adungwa Mimba na Mume wa Mtu
Baada ya Kumkimbia Mumewe, Aunt Ezekiel Adungwa Mimba na Mume wa Mtu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjae8EXjv_f0QYABlGp0qQBDtNAOVXvIDelj2fRYlhQJ4MU3ijD0AUQAuP6YuFDRpUeB1CCAh4YOVn-CtU6G96pnNdcxhPAQOj0EIz8-mqZRdp_G6qolyatlBFfO9KNljmsvsUTtKJIBBI/s1600/aunty+eze.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjae8EXjv_f0QYABlGp0qQBDtNAOVXvIDelj2fRYlhQJ4MU3ijD0AUQAuP6YuFDRpUeB1CCAh4YOVn-CtU6G96pnNdcxhPAQOj0EIz8-mqZRdp_G6qolyatlBFfO9KNljmsvsUTtKJIBBI/s72-c/aunty+eze.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/baada-ya-kumkimbia-mumewe-aunt-ezekiel.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/baada-ya-kumkimbia-mumewe-aunt-ezekiel.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago