Wadada wengi wa Mjini Wengi wamekuwa na dhana kuwa ukionyesha maungo ...
Wadada
wengi wa Mjini Wengi wamekuwa na dhana kuwa ukionyesha
maungo ya mwili kwa kuvaa vinguo vifupi basi wataolewa haraka
lakini kumbe wanajidanganya na kuishiwa kumegwa na kutupwa
kule
Mie nawaambia Hivi Ukitaka kupata mchumba wa maana basi fanya yafuatayo:
Vaa
nguo ndefu kuvuka magoti, zisiwe transparent, kifua kisiwe
wazi, viatu flat, kucha na kichwa visiwe na manjonjo mengi,
usiwe mwongeaji ovyo,epuka unywaji pombe, unnecessary outing,
ukali usio wa lazima, nidhamu kwa wote, upole, bila kusahau
usafi na ibada.
Ukiyafanya hayo yote hata kama umejificha uvunguni utaonekana tu! Bisha!