Muimbaji wa Kigoma aka Mwisho wa Reli ameurudia wimbo wa Nay wa Mitego, Nakula Ujana na kutengeneza wake uitwao ‘Nasali Sana’ uliopo kwe...
Muimbaji wa Kigoma aka Mwisho wa Reli ameurudia wimbo wa Nay wa
Mitego, Nakula Ujana na kutengeneza wake uitwao ‘Nasali Sana’ uliopo
kwenye mahadhi ya gospel.
Kisikilize kipande cha wimbo huo hapa.