Archive Pages Design$type=blogging

WAREMBO MISS TANZANIA 2014 WAWASILI KAMBINI, KANDA YA ZIWA WAENDESHA GARI YAO HADI DAR

Na Father Kidevu Blog Wanyange 30 wanao wanbia taji la R...

Na Father Kidevu BlogWanyange 30 wanao wanbia taji la Redd’s Miss Tanzania 2014 leo wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jiji Dar es Salaam.
Warembo hao waliowasdili kwa muda tofauti kuanzaia saa 12 alfajiri ya leo na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha la Dar.
Warembo kutoka Kanda ya Ziwa walitia fora pale warembo hao walipowasili kambini hapo wakiwa ndani ya gari ya Mshindi wa Kanda ya Ziwa ambayo alizawadiwa hivi karibuni katika shindano lao.
 Warembo wakiwasili kambini
 Warembo wa Kanda ya Ziwa wakiteremka katika gari lao baada ya kuwasili na inaelezwa waliendesha kutoka jijini Mwanza.
 Warembo wa KJanmda ya Ziwa wakijiandikisha baada ya kuwasili kambini.
 Warembo wakielekea chumba cha mkutano.
 Warembo wakiwa katika chumba cha semina ambapo maelezo mbalimbali ya ka,mbi yao yalitolewa.
 
  Warembo wakiwa katika chumba cha semina ambapo maelezo mbalimbali ya ka,mbi yao yalitolewa.
 Wadhamini wakijitambulisha kwa warembo na wanahabari.
 Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hasim Lundenga ‘Anko’ (kushoto) akiteta jambo na Katibu wake Bosco Majaliwa ‘Mshua’.
Chakula cha mchana kwa warembo.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: WAREMBO MISS TANZANIA 2014 WAWASILI KAMBINI, KANDA YA ZIWA WAENDESHA GARI YAO HADI DAR
WAREMBO MISS TANZANIA 2014 WAWASILI KAMBINI, KANDA YA ZIWA WAENDESHA GARI YAO HADI DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgj5i8sPxEJDkv98PRGhDnFqtbjBK6VEZP-1pDbObt0o0tCRFJPhBL-SJviKsb4yDvOKwo2uy7V0nFb6lZzTpnypch0gXl4g9FFveXSS6hGVaDjQFmVZzqZ7Y_Wq2Uoz07wIS5HEQUKdpiO/s1600/FKB_7880.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgj5i8sPxEJDkv98PRGhDnFqtbjBK6VEZP-1pDbObt0o0tCRFJPhBL-SJviKsb4yDvOKwo2uy7V0nFb6lZzTpnypch0gXl4g9FFveXSS6hGVaDjQFmVZzqZ7Y_Wq2Uoz07wIS5HEQUKdpiO/s72-c/FKB_7880.JPG
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/warembo-miss-tanzania-2014-wawasili.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/warembo-miss-tanzania-2014-wawasili.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago