Mwezi uliopita Shilole alienda Nairobi, Kenya kushoot video ya single yake mpya ...
Mwezi uliopita Shilole alienda Nairobi, Kenya kushoot video ya
single yake mpya ‘Namchukua’, video ambayo imeongozwa na director Kevin
Bosco Jnr. Shilole amesema video hii imemgharimu si chini ya shilingi
milioni 10. Hii ni teaser ya video hiyo inayotarajiwa kutoka ‘soon’.