Archive Pages Design$type=blogging

VANESSA MDEE, OMMY DIMPOZ MAHABA NIUE!

SIKU chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuripotiwa kuwa anatembea na mwanamitindo Jokate Mwegelo, ...


SIKU chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuripotiwa kuwa anatembea na mwanamitindo Jokate Mwegelo, imedaiwa kuwa amemmwaga na kuhamishia ‘mahaba niue’ kwa mtoto mzuri anayefanya muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee.
Mbongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’,  na Vanessa Mdee wakila 'good time'.
Tukio la kudhihirisha kwamba wawili hao ni wapendanao lilitokea juzikati walipokuwa kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta katika Mikoa ya Iringa na Morogoro ambako paparazi wetu aliwafuatilia hatua kwa hatua.
Chanzo chetu kilicho karibu na wawili hao kilipigilia msumari wa uwepo wa penzi motomoto kati ya wawili hao kwa kudai hata ukaribu wa msanii Jux na Vanessa ulioripotiwa hivi karibuni katika vyombo vya habari, ulikuwa ni upambe tu kwa Dimpoz.
Mwanadafada wa Bongo Fleva Vanessa Mdee,  akibadilishana mawazo na Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’.
“Jux alikuwa mpambe tu kwa Dimpoz wala hakuwa na uhusiano na Vanessa kama wengi walivyokuwa wakifikiri,” kilisema chanzo hicho.
Mara baada ya paparazi wetu kuwafotoa picha kibao zinazowaonesha wawili hao wakipeana kampani ya karibu kwa nyakati tofauti katika ziara hiyo, alimvaa Dimpoz na kumuuliza kama ndiyo ameamua kujisevia moja kwa moja au vipi, msikie alichojibu:
Wakikonga vyoyo za mashabiki.
“Ujue kuna vitu unaweza kujitahidi sana kubishana na watu lakini kuna muda inabidi uwe mpole tu kama hii ishu yangu na Vanessa maana walishaongea sana juu ya uhusiano wetu, sasa nashindwa hata namna ya kumwepuka.
“Hatujawahi kugombana hata siku moja na sina jinsi ya kuepuka kufanya naye chochote maana kama ishu ya mapenzi kati yetu ipo wazi na hakuna jipya ambalo naweza kusema watu wakanielewa,” alisema Ommy Dimpoz.Alipoulizwa Vanessa kuhusiana na uhusiano wao, aliishia kucheka tu na kudai hakuwa na cha kuzungumza

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: VANESSA MDEE, OMMY DIMPOZ MAHABA NIUE!
VANESSA MDEE, OMMY DIMPOZ MAHABA NIUE!
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDKHOfL9Ib8C3sAggy-t-H5ZC-Z0hTD60jDkoZmDw4L-eK7CIHKTW5y_WpiLzI3mJZjgqChsqTSoc3smHW1Y943487aQJox9_X4UDTZuOTCkbw3O_mOoHhjRyyfYK_-qg1rg2iD_E8PiY/s1600/IMG_0042.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDKHOfL9Ib8C3sAggy-t-H5ZC-Z0hTD60jDkoZmDw4L-eK7CIHKTW5y_WpiLzI3mJZjgqChsqTSoc3smHW1Y943487aQJox9_X4UDTZuOTCkbw3O_mOoHhjRyyfYK_-qg1rg2iD_E8PiY/s72-c/IMG_0042.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/vanessa-mdee-ommy-dimpoz-mahaba-niue.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/vanessa-mdee-ommy-dimpoz-mahaba-niue.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago