Ni utani tu ama kweli amemaanisha? Roma amedai kuwa hawezi kufanya collabo na Nay wa Mitego. Drama ilianza baada ya kuweka picha...
Ni utani tu ama kweli amemaanisha? Roma amedai kuwa hawezi kufanya collabo na Nay wa Mitego.
Drama ilianza baada ya kuweka picha kwenye akaunti yake ya Instagram
akiwa na Nay wa Mitego na kuandika: #Ninja n #EmmanuellyElibarik cc
@naytrueboy #WeAllBrotherz Add a cap…..”
Kwa maelezo hayo ilionekana ni picha ya kawaida na kuwa jamaa hao
wanaiva pamoja na Nay kumchana kwenye ngoma yake ‘Mr Nay’. Hata hivyo
mambo yaligeuka baada ya Daudi wa Kota kumuuliza Roma: Collaboration
lini?
Roma alijibu,” Mimi siwezi fanya kollabo na huyu jamaa man.”
Tunaamini ulikuwa ni utani tu.