Star wa filamu za kibongo, Irene Uwoya anadaiwa hana mzuka kabisa wa kutoka kimapenzi na wanaume wanene au wenye vit...
Star wa filamu za kibongo, Irene Uwoya anadaiwa hana mzuka kabisa wa
kutoka kimapenzi na wanaume wanene au wenye vitambi kwa madai si lolote kitandani
wanaishia kuhema hema tu.
Chanzo
kimoja kutoka kambi ya Uwoya kikizungumza na Mpekuzi jana
kilisema:
"Wanaume wengi wakiwemo wenye pesa zao wamekuwa wakimsumbua
Uwoya , yeye hana muda nao maana sio type yake. Anapenda wanaume wenye
vifua vya mazoezi na wasio na vitambi,
yeye anaona wenye vitambi na wanene hawawezi gwaride la sita kwa sita".
Hata hivyo Uwoya hakupatikana kuzungumzia suala hilo lakini takribani mwezi
sasa alipohojiwa na jarida moja linalotoka kwa mwezi mara mbili alisema
kuwa hapendi wanaume wanene linapokuja suala la mahausiano ya kimapenzi