Archive Pages Design$type=blogging

SIJAWAHI KUTOA RUSHWA YA NGONO KWA ‘DAIREKTA’ - SANDRA

MSANII wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’ amefunguka kuwa tangu ameanza kujihusisha na mambo ya sanaa...

MSANII wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’ amefunguka kuwa tangu ameanza kujihusisha na mambo ya sanaa hajawahi kuwa na bwana ndani ya klabu ya Bongo Movies na wala hajawahi kutoa rushwa ya ngono kwa ‘dairekta’ kama ilivyo kwa wengine.
Msanii wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Sandra alisema kuna baadhi ya wasanii wanafikiri kuwa na mwanaume ndani ya Klabu ya Bongo Movie ndiyo kutimiza ndoto zao kumbe ni kujidharaulisha tu.
“Sina bwana wala sijawahi kutoa rushwa ya ngono kwa ‘dairekta’ na sifikirii kufanya hivyo kamwe, maana ni kujishushia heshima yangu  wakati mimi ni mke wa mtu na wala siwezi  kunadi mwili wangu,” alisema Sandra.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: SIJAWAHI KUTOA RUSHWA YA NGONO KWA ‘DAIREKTA’ - SANDRA
SIJAWAHI KUTOA RUSHWA YA NGONO KWA ‘DAIREKTA’ - SANDRA
http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuUxc9d5-a-W2-oLTYnSzItJoHgqiMv9QqsihFbVWH9w1FcyHaUecKCyvk5ujEkD-pD6oYZdHG1r-l6HtuzE46wJ/SANDRA27.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/sijawahi-kutoa-rushwa-ya-ngono-kwa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/sijawahi-kutoa-rushwa-ya-ngono-kwa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago