post-feature-image
HomeBurudani

RAY, JB WAMPIGIA SALUTI KAJALA

Waigizaji wakongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Jacob Steven ’JB’ na Vincent Kigosi ‘Ray’ wamempigia saluti muigizaji mwenzao,  Kajala...

50 Cent tena, mpenzi wake mpya na mtoto wake aliekuwa hajulikani huyu hapa
CHEKI PICHA ZA HOUSE GIRL AKIFANYA PARTY NDANI YA NYUMBA YA BOSI WAKE KWA KUSEX BILA UOGA WA KUKAMATWA
HIZI NDIZO KAULI 8 TATA ZA WANAWAKE, WE MWANAMME UKIAMBIWA JIHADHARI SANA,ISIJE KULA KWAKO
Waigizaji wakongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Jacob Steven ’JB’ na Vincent Kigosi ‘Ray’ wamempigia saluti muigizaji mwenzao,  Kajala Masanja kutokana na filamu fupi aliyotengeneza ya Mbwa Mwitu.
Staa wa Filamu Bongo, Kajala Masanja akihojiwa na waandishi wakati wa uzinduzi wa filamu yake ya Mbwa Mwitu.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye uzinduzi wa filamu hiyo uliofanyika Mlimani City juzi, JB alisema kuwa  Kajala amebuni kitu cha tofauti kabisa ambacho jamii nzima mpaka watoto wanafahamu kuhusu Mbwa Mwitu.
Kajala Masanja akiwa na mwanaye, Paula.
“Kitu ambacho nimekipenda ni kwamba filamu ni fupi lakini ujumbe umeeleweka pia amefikiri kitu cha tofauti kabisa kwani hata watoto wa rika zote wanaweza kuangalia kwa ajili ya kujifunza,” alisema JB huku Ray akiunga mkono hoja.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: RAY, JB WAMPIGIA SALUTI KAJALA
RAY, JB WAMPIGIA SALUTI KAJALA
http://api.ning.com:80/files/zLSzH-96bg--47sRZeZMbjxqY*BTNFfwpJqAwS593J9X3LjwW*JkP4wmq8jny0RQenyOjxJiCFTbq-mpXpVLGhYNVm5GIc2A/2.JPG
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/ray-jb-wampigia-saluti-kajala.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/ray-jb-wampigia-saluti-kajala.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago