Archive Pages Design$type=blogging

‘Mwana’ ilikuwa nifanye na Fally Ipupa lakini tukaogopa, fahamu kilichomwogopesha - Alikiba

Alikiba amefunguka kuwa single yake mpya ya ‘Mwana’ ambayo ilirekodiwa miaka miwili iliyopita, hapo mwanzo alip...

Alikiba amefunguka kuwa single yake mpya ya ‘Mwana’ ambayo ilirekodiwa miaka miwili iliyopita, hapo mwanzo alipanga angemshirikisha mwanamuziki wa DRC, Fally Ipupa.
Kiba na ipupa
Kiba amesema mipango hiyo ilikuja kubadilika baada ya kugundua ngoma imekuwa kali bila Fally hivyo ikamlazimu kuiacha kama ilivyo na kuandaa wimbo mwingine atakaomshirikisha star huyo.
“(Mwana) ilikuwa nifanye na Fally before, lakini sasa tulipoona nyimbo nimerekodi ikwa nzuri zaidi tukasema tusiiharibu anaweza akarekodi labda bahati mbaya ameharibu bahati mbaya amepatia kwahiyo nikamwandalia ngoma nyingine Fally,” amesema Alikiba kupitia XXL ya Clouds FM.
“kwahiyo ilikuwa imeandaliwa beat lakini sasa kwa utamu nilivyokuwa nimeuzidisha sana mle ndani mpaka tukaogopa kwamba Fally asije akapotea au akapoteza zaidi, lakini sikufikiria hilo, kitu cha muhimu ambacho nilifikiria kwamba ukiona nyimbo imekuwa nzuri zaidi sana, iache hivyo hivyo iende tutafute kingine.”

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: ‘Mwana’ ilikuwa nifanye na Fally Ipupa lakini tukaogopa, fahamu kilichomwogopesha - Alikiba
‘Mwana’ ilikuwa nifanye na Fally Ipupa lakini tukaogopa, fahamu kilichomwogopesha - Alikiba
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/09/Kiba-na-ipupa1.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/mwana-ilikuwa-nifanye-na-fally-ipupa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/mwana-ilikuwa-nifanye-na-fally-ipupa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago