Archive Pages Design$type=blogging

MLELA AMPIGA DONGO NORA- HABARI KAMILI HII HAPA

Stori Mwandishi Wetu KUFUATIA madai ya hivi karibuni ya mkongwe wa filamu Bongo, Nu...

Stori Mwandishi Wetu KUFUATIA madai ya hivi karibuni ya mkongwe wa filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ kuwa baadhi ya waigizaji hawana sifa za kuwa wacheza sinema zaidi ya kuuza sura, msanii Yusuph Mlela amempa dongo zito akisema licha ya umri kuwa mkubwa, pia ana matatizo flani yanayomsumbua.
Msanii wa filamu Bongo, Yusuph Mlela.
“Nora naona siyo kosa lake kwani alishaugua yule,  isitoshe ameshakuwa bibi hivyo nimemsamehe na sina tatizo naye kwani najua, lingekuwa jambo la maana kama angetufuata na kutushauri kama mkongwe lakini si kwa njia aliyofanya,” alisema Mlela.
Mkongwe wa filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’
Hivi karibuni Nora aliwataja mastaa wenzake wa filamu akiwemo Mlela, Chuchu Hans, Steve Nyerere, Kajala na Batuli akisema hawawezi kazi zaidi ya kuuza sura tu.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MLELA AMPIGA DONGO NORA- HABARI KAMILI HII HAPA
MLELA AMPIGA DONGO NORA- HABARI KAMILI HII HAPA
http://api.ning.com:80/files/n6JmThHrscbvVUdpI83raidajRxm4XSEsjPNyxk2rp0uIXY7wrSzoYy4UPMcsEPW4OToyY2kMXYjL01rCxbKKU19gzr7xOoC/mlela.JPG?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/mlela-ampiga-dongo-nora-habari-kamili.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/mlela-ampiga-dongo-nora-habari-kamili.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago