post-feature-image
HomeMajuu

MABINTI WA MARAIS WA AFRIKA WANAOTIKISA

  SAFU hii mpya itakuwa yakutoa elimu kwa wasomaji. Wiki hii tunaanza na baadhi ya mabinti wa marais wa Afrika ambao wanati...

  SAFU hii mpya itakuwa yakutoa elimu kwa wasomaji. Wiki hii tunaanza na baadhi ya mabinti wa marais wa Afrika ambao wanatikisa sana katika mitandao mbalimbalikutokana na sifa zao tofauti
  AngePaul Kagame
Ni binti wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Alizaliwa mwaka 1989. Kwenye mitandao amekuwa akisifiwa kuwa ni ndiye binti mrembo kuliko wengine.
  Faith Sakwe Jonathan
Huyu ni mtoto wa Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan. Amefunga ndoa Aprili, mwaka huu. Naye anatajwa na mitandao kwamba ni mrembo.
  Nyepudzayi Bona Mugabe
Ana miaka 24. Ni binti wa Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Ni binti aliyetikisa mitandaoni kutokana na mambombalimbali ya kijamii. Amefunga ndoa hivi karibuni
Sifa Joseph Kabila
Amezaliwa mwaka 2001, baba yake ni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila. Anatajwa kuwa binti mtulivu na msikivu.
  Ngina Uhuru Kenyatta
Mwaka huu amekamata wa 23, baba yake ni Rais wa Kenya, Uhuru Jomo Kenyatta. Mitandao inamtaja kwamba ana mvuto, pia anaongoza kwa kuwa na marafiki wengi wa kike.
Stella Mutale Sata
Baba yake ni Rais wa Zambia, Mutale Sata. Binti mwenyewe yupo poa sana kwa sasa ana miaka 20 tu.
  Diana Karuguire Museven
Ni binti wa Rais wa Uganda, Joel Kaguta Museven. Amefunga ndoa. Mitandao inamtaja ni binti aliyetulia ndiyo maana akapigwa jicho na mwanaume na kufunga ndoa
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MABINTI WA MARAIS WA AFRIKA WANAOTIKISA
MABINTI WA MARAIS WA AFRIKA WANAOTIKISA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgv2p2Z-5fNiRwNsHAh7z1EHs0I5gH0TamTzLfLyhp53HCSHnMbCucCiIZDJUDry-YTTQR1Yxludzsf-2u4FMWgdknA4OIL0xijVMYJ_caN_rRCOh2yXMUmI64EdQO1ZrKpHlEhrpC_gWo/s1600/faithsakwe2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgv2p2Z-5fNiRwNsHAh7z1EHs0I5gH0TamTzLfLyhp53HCSHnMbCucCiIZDJUDry-YTTQR1Yxludzsf-2u4FMWgdknA4OIL0xijVMYJ_caN_rRCOh2yXMUmI64EdQO1ZrKpHlEhrpC_gWo/s72-c/faithsakwe2.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/mabinti-wa-marais-wa-afrika-wanaotikisa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/mabinti-wa-marais-wa-afrika-wanaotikisa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago