Sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na Amani kwenye Hoteli ya Hyatt Regency The Kilimanj...
Sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Akizungumza na Amani kwenye Hoteli ya Hyatt Regency The Kilimanjaro
iliyopo Posta jijini Dar hivi karibuni waliponaswa wamegandana kama
ruba, Kadinda alimuwahi mwanahabari wetu na kumsihi kuwa hawana uhusiano
wa kimapenzi bali kuna habari mpya.
Kadinda ambaye hivi karibuni alimwaga kibarua kwa Wema, alisema kwamba aliongozana na Lulu hotelini hapo kwa kuwa kulikuwa na Fainali ya Shindano la Miss Ilala, Dar, wakiwa ni mtu na meneja wake kama alivyokuwa kipindi yuko na Wema.

Martin Kadinda.
“Kwa sasa ‘nammeneji’ Lulu. Naomba ieleweke hivyo ili baadaye watu
wasiseme tunatoka kimapenzi kwa sababu nitakuwa naonekana naye kila mara
na kwenye sehemu tofauti,” alisema Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa
mavazi.
Kwa upande wa Lulu, alionekana kufurahia maneno hayo na kufanikiwa kumpata meneja huyo huku akiongezea kuwa amefarijika kuwa na meneja kama Kadinda.“Huyu ni meneja bora na siyo bora meneja kwa hiyo kama mtu anataka kufanya kazi na mimi, aanze kwa meneja wangu,” alisema Lulu.
Ukaribu wa Lulu na Kadinda ulianza kitambo hata kabla Kadinda hajafahamika kama ilivyo sasa.