Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu urembo huu wa kuvaa cheni za miguuni. Wengi wamekuwa wakisema kuwa cheni hizo zinamaanisha kwamba mv...
Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu urembo
huu wa kuvaa cheni za miguuni. Wengi wamekuwa wakisema kuwa cheni hizo
zinamaanisha kwamba mvaaji anaonyesha kwamba yeye anaweza mapenzi ya
kinyume na maumbile, au analika pande zote tetesi hizi zimeleta
mchanganyiko kidogo kwenye urembo huu.
Watu wengine wamediriki hata kukataza kabisa wapenzi wao wasivae urembo huo, mimi binafsi siwezi kuongozana na mtu aliyevaa kitu kama hicho. Haya sasa kazi kwako mdau, wewe unaonaje ni sawa urembo huo kutumika, na je una maana yeyote? Tambie Unaelewa nini kuhusu Urembo huu?