Archive Pages Design$type=blogging

JOHARI IPO SIKU RAY ATAREJEA NA TUTAENDELEZA MAPENZI YETU

MKONGWE katika tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameonekana kuendelea kuteseka na penzi la mwigizaji Vincent K...

MKONGWE katika tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameonekana kuendelea kuteseka na penzi la mwigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ baada ya kunaswa akimzungumzia.
 
Mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’.
Tukio hilo lilijiri juzikati katika Viwanja vya Leaders Club kwenye uzinduzi wa filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni ambapo Johari alikuwa amekaa na kruu yake (huku  wakigonga ulabu) ndipo mmoja kati wenzake hao, akagusia stori za Ray kisha Johari alicheka na kusema ipo siku Ray atarejea katika mikono yake.
 
Mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo,Vincent Kigosi ‘Ray’.
“Ipo siku ambayo haijulikani tarehe wala mwaka Ray lazima atarudi katika mikono yangu kwani namfahamu sana Ray kuwa ni mtu wa kuruka lakini kwangu amefika,” alisikika Johari.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: JOHARI IPO SIKU RAY ATAREJEA NA TUTAENDELEZA MAPENZI YETU
JOHARI IPO SIKU RAY ATAREJEA NA TUTAENDELEZA MAPENZI YETU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEyuMlzXqEf_h07gWemMeiXGOTVGqxYQZBO_RyYAFsoU7EnMDxgGo9JM3C2ktIGAMhJwyfRscM25R4LzBRUf3aYYsfCie8kVT14zG4ZmC-j31OXGeqEwSY8NAeJre9RlICh-JkpaveTdI/s1600/johari.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEyuMlzXqEf_h07gWemMeiXGOTVGqxYQZBO_RyYAFsoU7EnMDxgGo9JM3C2ktIGAMhJwyfRscM25R4LzBRUf3aYYsfCie8kVT14zG4ZmC-j31OXGeqEwSY8NAeJre9RlICh-JkpaveTdI/s72-c/johari.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/johari-ipo-siku-ray-atarejea-na.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/johari-ipo-siku-ray-atarejea-na.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago