post-feature-image
HomeBurudani

Jacque Pentzel - Mume Wangu Hajanikataza Kuigiza Filamu

Jacque na mumewe Gadner Dibibi  Star wa filamu Tanzania Jacquline Pentzel Dibibi akiongea na SWP amesema kuwa mume wake Gadner Dibi...

 Star wa filamu Tanzania Jacquline Pentzel Dibibi akiongea na SWP amesema kuwa mume wake Gadner Dibibi(30) hajamkataza kufanya kazi zake za movies, bali alikuwa kimya kutokana na kusoma game lilivyo sasa. Jacque amesema kuwa hivi sasa yupo kambini maeneo ya mbezi, Dar es salaam akishuti movie yake mpya lakini hakuweka bayana jina la hiyo movie.
Msanii huyo ambaye mashabiki wake wamemzoea kwa jina la Jack Wa Chuzi alibadili dini na kuwa muislam na kufunga ndoa mwanzoni mwa mwaka jana na kijana Gadner Hatwaby Dibibi na kuchagua jina la Kauthar Dibibi ambalo ndio jina lake la ndoa
Jacque

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Jacque Pentzel - Mume Wangu Hajanikataza Kuigiza Filamu
Jacque Pentzel - Mume Wangu Hajanikataza Kuigiza Filamu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiebjLt8tRTed870C10D_1Vl81VXMC2l534i_lTB9edBLnHb_JpAdfQmnjQtVGI4wIYpQ8hkdGDWjlmdDYwjLs71Nl7jR73qMN9n66uhYXJU7P8w4OIOjvQOgUxqHUHJ9cLm-8eFLn9MbPQ/s1600/10668407_863113470373526_1665475535_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiebjLt8tRTed870C10D_1Vl81VXMC2l534i_lTB9edBLnHb_JpAdfQmnjQtVGI4wIYpQ8hkdGDWjlmdDYwjLs71Nl7jR73qMN9n66uhYXJU7P8w4OIOjvQOgUxqHUHJ9cLm-8eFLn9MbPQ/s72-c/10668407_863113470373526_1665475535_n.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/jacque-pentzel-mume-wangu-hajanikataza.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/jacque-pentzel-mume-wangu-hajanikataza.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago