MAHABAT! Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amefunguka kuwa hajawahi kuoa wala kuchumbia bali amezaa na mwanadada a...

MAHABAT! Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses
Iyobo amefunguka kuwa hajawahi kuoa wala kuchumbia bali amezaa na
mwanadada anayeitwa Mwengi.
Dansa huyo ambaye hivi sasa anadaiwa kukolea kwa penzi la mwigizaji
Aunt Ezekiel, alizidi kutiririka kuwa anachukizwa sana na watu
wanavyomuita mume wa mtu wakati bado hajafikiria.
“Mimi jamani nimezaa na nina mtoto lakini bado sijaoa na wala sijafikiria kufanya hivyo,” alisema Moses.
“Mimi jamani nimezaa na nina mtoto lakini bado sijaoa na wala sijafikiria kufanya hivyo,” alisema Moses.