Archive Pages Design$type=blogging

Inaumiza Na Kukatisha Tamaa Tunapoandikwa Kwa Habari Za Uongo Kwenye Magazeti Ya Udaku:- Johari

Muigizaji maarufu wa filamu Tanzania 'Johari' Blandina Chagula amsema kuwa kuandikwa vibaya na uzushi kwa mambo yan...


Muigizaji maarufu wa filamu Tanzania 'Johari' Blandina Chagula amsema kuwa kuandikwa vibaya na uzushi kwa mambo yanayodhalilisha ndiyo mambo yanayokwaza na kukatisha tamaa katika uigizaji.

Akizungumza na gazeti moja la kila siku lisilo la udaku Johari aliweka wazi kuwa star wa filamu nchini anahitajika kuwa na moyo mgumu kwa kuwa uzushi na mambo mbalimbali ya kusingiziwa huchangia kwa kiasi kikubwa kuwaondoa kwenye tasnia hiyo waigizaji wengi wakubwa.

Johari ameyasema hayo huku baadhi ya wasanii wakiyalalamikia baadhi ya magazeti ya udaku kwa madai ya kuwaandika kwa habari za uongo na wakati mwingine hutokea pale msanii anapokuwa hakubaliani na matakwa yao katika kitu flani na kuishia kuandikwa kwa habari za kumchafua.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Inaumiza Na Kukatisha Tamaa Tunapoandikwa Kwa Habari Za Uongo Kwenye Magazeti Ya Udaku:- Johari
Inaumiza Na Kukatisha Tamaa Tunapoandikwa Kwa Habari Za Uongo Kwenye Magazeti Ya Udaku:- Johari
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhX-6sfxhwrFxntV31eBzMdPCRTYzU6DA0QuZ6DBZJAR7vG9E-jcRnp_1KGeUVcdFd6fepN9HqDXY9lyEzWfoDSP_Cspj6VWmJikVBWu5mFEkjspRYOeQ6FE5JTqaPItqSCjPkmhZiUnwRP/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhX-6sfxhwrFxntV31eBzMdPCRTYzU6DA0QuZ6DBZJAR7vG9E-jcRnp_1KGeUVcdFd6fepN9HqDXY9lyEzWfoDSP_Cspj6VWmJikVBWu5mFEkjspRYOeQ6FE5JTqaPItqSCjPkmhZiUnwRP/s72-c/1.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/inaumiza-na-kukatisha-tamaa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/inaumiza-na-kukatisha-tamaa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago