Pichani kati msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiwa na madansa wake wakilishambulia jukwaa kwa namna ya ...
Pichani
kati msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiwa na
madansa wake wakilishambulia jukwaa kwa namna ya kipekee usiku huu
kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini
Shinyanga.

Mmoja
wa wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,atambulikae kwa jina la
kisanii Ommy Dimpo akiwaimbisha mashabiki huku akisherehekea siku yake
ya kuzaliwa na wakazi wa mji huo usiku katika tamasha la Fiesta ndani ya
uwanja mdogo wa Kambarage

Mmoja
wa wasanii wa Bongofleva anaefanya vyema katika muziki huo atambulikae
kwa jina la Young Killer a.k.a Msodoki akiimba jukwaani usiku huu kwenye
tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga
BOFYA HAPA KUANGALIA BURUDANI YOTE KATIKA PICHA
BOFYA HAPA KUANGALIA BURUDANI YOTE KATIKA PICHA