Archive Pages Design$type=blogging

Hivi Ndivyo ‘Sugua Gaga’ ya @Shaa ilivyoipiku ‘Number 1 remix’ ya Diamond kwa kupata views nyingi Youtube ndani ya miezi mitano

...

928668_1455406798064374_1736629803_n



Hadi mwishoni mwa mwezi uliopita, video ya remix ya hit single ya Diamond Platnumz, ‘Number One’ aliyomshirikisha staa wa Nigeria, Davido ilikuwa ni video ya kwanza kutoka kwa msanii wa Tanzania kupata views nyingi zaidi ndani ya miezi chini ya sita.
Hata hivyo rekodi hiyo sasa imevunjwa na video ya Shaa, Sugua Gaga, thanks kwa jina la kuvutia lililotumika kuiweka upya video hiyo kwenye mtandao huo maarufu wa video mtandaoni na picha ya juu ya juu iliyotumika kama kava (picha ya mwanamke mwenye makalio makubwa akiwa na nguo iliyolowana na maji na ndani akiwa hajavaa kufuli). Mitego!!
Baada ya kuwekwa upya March 24 kwa kwa title ‘African Divas – Tanzania – Tribal Twerk – Shaa – Sugua Gaga – Copyright Claim by Spice Digital SA’ video hiyo sasa (September 6) ina views 3,224,569 (zinaongezeka kwa kasi).
Kampuni ya Spice Digital ya Afrika Kusini ndio inaisimamia video hiyo.
Ndani ya miezi nane, video ya Number 1 ina views 3,593,328. Maana yake ni kuwa kwa miezi mitano Number One haikuweza kufikisha views zilizofikiwa na video ya Sugua Gaga. Hiyo pia ina maana kuwa kwa jinsi video ya Sugua Gaga inavyotazamwa kwa kasi, muda si mrefu itaivunja rekodi ya jumla ya video ya Diamond kama video ya msanii wa Tanzania iliyotazamwa zaidi kwenye mtandao huo.
Pia Shaa amekuwa msanii wa kwanza wa kike kutoka Tanzania kuwa na video yenye views nyingi zaidi.
“Na bado…ahsanteni sana kwakweli..ni Mwenyezi Mungu tu ndo anajua safari hii imeanzia wapi mpaka leo hii rekodi kuvunjwa!Msanii wa kwanza wa Kike Tanzania kupiga hits hivi kwa muda mfupi….Mapenzi tele kwa nyinyi mashabiki wa kweli…my familia @masterjtz @mkubwafella @babutale @nelu_k @mizandastood #Wagumuz na WOTE mnaonisupport bila vigezo!Mungu awabariki sana! #TeamShaa #SuguaGaga,”
ameandika Shaa.
Hongera sana Shaa.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Hivi Ndivyo ‘Sugua Gaga’ ya @Shaa ilivyoipiku ‘Number 1 remix’ ya Diamond kwa kupata views nyingi Youtube ndani ya miezi mitano
Hivi Ndivyo ‘Sugua Gaga’ ya @Shaa ilivyoipiku ‘Number 1 remix’ ya Diamond kwa kupata views nyingi Youtube ndani ya miezi mitano
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/09/928668_1455406798064374_1736629803_n.jpg
https://i.ytimg.com/vi/Cd2bwLcgGGg/default.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/hivi-ndivyo-sugua-gaga-ya-shaa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/hivi-ndivyo-sugua-gaga-ya-shaa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago