Rapper wa Nigeria, Ice Prince kummiss Jokate Mwegelo sio issue kubwa. Issue kubwa ni rapper huyo kulitamka vizuri jina lake la utani ‘Ki...
Rapper wa Nigeria, Ice Prince kummiss Jokate Mwegelo sio issue
kubwa. Issue kubwa ni rapper huyo kulitamka vizuri jina lake la utani
‘Kidoti’.
Jokate yupo nchini Afrika Kusini kwenye majukumu yake kama mtangazaji
wa Channel O na kuna kipindi wanashoot na Ice Prince Zamani. Kupitia
ukurasa wake wa Instagram, Jokate amekuwa akishare picha na vipande vya
video akiwa na rapper huyo wa ‘I Swear’.
Katika video moja wapo Jokate anasikika akimuambia Ice Prince: Why did I surprise you? Jokate akajibu: You just surprised me Ice Prince, why did you have to surprise me like that. Naye Ice akajibu: Cause I miss you, It’s has been a long time. I miss you Kidoti.. na kilichofuata ni kicheko tu.