Mwimbaji Britney Spears amevunjwa moyo baada ya kushuhudia kipande cha video kilichovujishwa kikimuonesha mpenzi wake ...
Mwimbaji Britney Spears amevunjwa moyo baada ya kushuhudia kipande
cha video kilichovujishwa kikimuonesha mpenzi wake David Lucado
akimsaliti na msichana ambaye hakutambulika kwa haraka.
Katika video hiyo, David Lucado anaonekana akicheza na msichana huyo huku akimkiss kama wanaigiza filamu ya mahaba na wao ndio wahusika wakuu.
Britney Spears ameshindwa kuvumilia alichokiona na ameamua kumpiga chini Lucado na hivi ni single girl.
“Aahhhh! The Single life.” Ametweet Britney.

Hata hivyo, kwa mujibu wa vyanzo vya E! Entertainment, Lucado anaamini bado kuna nafasi ya kuongea na kurudiana na mwimbaji huyo.
Ripoti nyingine zimeeleza kuwa Britney Spears ameanza kuwasiliana na boyfriend wake wa zamani Adnan Ghalib.