Hii ni moja ya stori kubwa za Magazeti ya leo Tanzania ambapo gazeti la Uhuru limeandika kwamba Rais wa shirikisho la muziki Tanzania Ad...
Zilikua
ni pesa zilizotolewa kama rambirambi kwenye msiba wa Mwanamuziki wa
siku nyingi Tanzania mzee Gurumo ambazo zilikua ni milioni 1.1.
Fedha
hizo zilikua zitumike kumnunulia Bajaji mke wa Marehemu Pili Kitwana
lakini ikashindikana ambapo sasa nafasi hiyo ya Rais inashikiliwa na
Stara Thomas kwa muda.
Marehemu Gurumo.
Addo
Novemba alivuliwa madaraka hayo mwezi uliopita lakini alipinga uamuzi
huo akidai ni batili lakini sasa Katibu wa shirikisho hilo amesema
Wanachama wameridhia kumng’oa kwa sababu ameichafua TMA.