Archive Pages Design$type=blogging

Hii ndio jinsia ya mtoto ajae wa Shakira

Ni kweli kwamba mwimbaji Shakira anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili? jibu ni ndio… na hii imethibitishwa na mama yake mzazi. Gaz...

Screen Shot 2014-09-10 at 3.15.03 AMNi kweli kwamba mwimbaji Shakira anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili? jibu ni ndio… na hii imethibitishwa na mama yake mzazi.
Gazeti la Hola la Hispania limeripoti kwamba mama mzazi wa mwimbaji huyu ndio kaongea na kusema mjukuu wake ajae ni mtoto mwingine wa kiume.
Screen Shot 2014-09-10 at 3.13.44 AMShakira ana umri wa miaka 37 sasa hivi na siku yake ya kuzaliwa ni February 2… ni mke wa mchezaji staa wa soka Gerard Piqué ambapo huyu atakua mtoto wao wa pili baada ya yule wa kwanza wa kiume pia.
Shakira mwenyewe alitangaza kuwa na ujauzito wiki ile iliyopita akiwa bado kwenye ndoa na staa kutoka Barcelona FC Gerard Pique mwenye umri wa miaka 27.
Screen Shot 2014-09-10 at 3.14.00 AM

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Hii ndio jinsia ya mtoto ajae wa Shakira
Hii ndio jinsia ya mtoto ajae wa Shakira
http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/09/Screen-Shot-2014-09-10-at-3.15.03-AM.png?resize=427%2C272
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/hii-ndio-jinsia-ya-mtoto-ajae-wa-shakira.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/hii-ndio-jinsia-ya-mtoto-ajae-wa-shakira.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago