Hii ni stori ambayo inaelekea kugusa zaidi mambo ya ndani ya kifamilia ambayo yapo baina ya mama mzazi wa Peter Manyika pamoja n...
Hii
ni stori ambayo inaelekea kugusa zaidi mambo ya ndani ya kifamilia
ambayo yapo baina ya mama mzazi wa Peter Manyika pamoja na Peter Manyika
mwenyewe,baada ya mama mzazi kusikika Peter Manyika nae amevunja
ukimya.
Simu alipopigiwa Peter Manyika ambaye hakujua kama Soudy Brown yuko
na mama yake live studio alianza kwa kusema kuwa wako sawa lakini
aliposikia sauti ya mama yake akiwa na Soudy alimuomba Soudy amtafute
ili waongee.