Jumapili iliyopita director Nisher ameachia video mpya ya msanii aitwaye AMA G kutoka Mwanza, ikiwa ni video ...
Jumapili iliyopita director Nisher ameachia video mpya ya msanii
aitwaye AMA G kutoka Mwanza, ikiwa ni video ya sita kutoa toka mwaka
huu umeanza. Baadhi ya mashabiki wa kazi zake wamepongeza kwa kuendelea
kufanya video nzuri, lakini baadhi yao wameonekana kutoridhishwa na
kiwango cha msanii aliyemfanyia video hiyo.
Haya ni majibu ya Nisher kwa wale waliomkosoa kuhusu msanii aliyemfanyia video:
“Ok Seriously this has to Stop! Kwanza Ieleweke kabisa Kua saivi
mimi nipo Very Expensive Kufanya Videos TZ… Nakama Hamja Shtukia
nimepunguza kasi yakutoa Kazi Mpya, Kwanini? Watu Hawataki kutoa hela!!!
Hiyo sio changamoto kwangu, ni changamoto ya Wasanii…
Kitendo cha Huyu Kijana Ku-WEZA kunilipa kufanya Music Video Yake
shilingi MILIONI 5 CASH na Kuja Onset na Pamba zake tu, Kwahilo NAMSIFU
SANA!!! Bado aliniambia alitumia milioni moja zaidi kwaajili ya Kusafiri
kutoka Mwanza Kuja Arusha, na kulipia hotel yake pamoja na Kuandaa
mavazi Nilio Mtajia pamoja na Kulipa extra cost Zote! Namsifu sana…
Pili ieleweke kua Huyu bado ni Msanii mchanga, Alichoniomba
Nikwamba Nimasaidie tu Kupata Jina Langu (NISHER) kwenye kazi yake… Na
aliniambia kabisa Kwamba anajua yeye bado mchanga ila aliniomba Sana kwa
moyo wote akasema Yupotayari Kunilipia Gharama zozote zile ili tu Apate
Jina Langu kwenye Kazi yake!!! Huyukijana Anatakiwa Apigiwe makofi…
Tena amewaaibisha watu wote wenye nyimbo nzuri walioshindwa kunilipa…
You should be ASHAMED OF YOURSELVES KWA KUMPONDEA HUYU
KIJANA!!!!!!!!!!!!!!!! Nimemaliza.”
Hizi ni baadhi ya comments kuhusu video hiyo:
tonyjom- nilimsikia director kelvin
Bosco akisema hua anasikiliza nyimbo za wasanii km Ni mbya anakataa
kufanya nao kaz coz wanashusha CV yako,its beta ukaiga Hilo.
allenizo168- Video nzuri msanii kazingua
baab angalia na hadhi ya nyimbo inastaili kufanyiwa kichupa na director
nisher manake haelewiki huyo artist vocal hana mashaili mabovu
verbsmedia- Dis vid imebidi niichek bila sauti,…napenda sana kazi zako @nisherbybee ,bt zngatia wasanii unaofanya nao kazi,huyu hakua mzuri!
verbsmedia- Dis vid imebidi niichek bila sauti,…napenda sana kazi zako @nisherbybee ,bt zngatia wasanii unaofanya nao kazi,huyu hakua mzuri!
rahim chardluck-nyimbo yak underground sana..japo video nzuri….