Archive Pages Design$type=blogging

Diamond atajwa kuwania tuzo za MTV Europe, #MTVEMA

Majina ya wasanii wa Afrika watakaowania tuzo za MTV Europe, MTVEMA yametangazwa na Diamond ni miongoni mwa wasanii watakaowania tuzo hiz...

Majina ya wasanii wa Afrika watakaowania tuzo za MTV Europe, MTVEMA yametangazwa na Diamond ni miongoni mwa wasanii watakaowania tuzo hizo zitakazotolewa November 9 jijini Glasgow, Scotland.
Diamond-600-x-450
Diamond atachuana na Davido, Toofan wa Togo na Goldfish wa Afrika Kusini.
Davido-600-x-450 Kwa mara nyingine tena Davido anachuana na Diamond kwenye tuzo kubwa baada ya ile BET Awards
Hata hivyo mashabiki mwaka huu wamepewa fursa ya kumtaja msanii mwingine wa tano atakayewania tuzo hiyo. Wasanii sita wanaowania nafasi iliyosalia ni:
Anselmo Ralph – #NominateAnselmoRalph
Gangs of Ballet – #NominateGangsOfBallet
Mafikizolo – #NominateMafikizolo
Sarkodie – #NominateSarkodie
Sauti Sol – #NominateSautiSol
Tiwa Savage – #NominateTiwaSavage

Kura za wild card kupitia Twitter zitafanyika hadi September 14 na majina yote ya “2014 MTV EMA” yatatangazwa September 16 na upigaji kura kuanza rasmi.
Soma zaidi kuhusu tuzo hizo hapa

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Diamond atajwa kuwania tuzo za MTV Europe, #MTVEMA
Diamond atajwa kuwania tuzo za MTV Europe, #MTVEMA
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/09/Diamond-600-x-450.png
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/diamond-atajwa-kuwania-tuzo-za-mtv.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/diamond-atajwa-kuwania-tuzo-za-mtv.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago