Diamond ameendelea kung'ara anga za kimataifa baada ya kupata tunzo ya Collabo bora ya Mwaka toka kwenye tunzo za #AAMMA_Awards ...
Diamond ameendelea kung'ara anga za kimataifa baada ya kupata tunzo ya Collabo bora ya Mwaka toka kwenye tunzo za #AAMMA_Awards kupitia
nyimbo aliyoshirikishwa na Desert Eagle iitwayo #EVERYDAY, ameeleza hayo kwenye ukurasa wake wa Instagram, Diamond ameandika __
"Ningependa
niwajulishe kuwa kijana wenu nimepata tunzo nyingine toka Australia ya
Collabo bora ya Mwaka toka kwenye tunzo za #AAMMA_Awards kupitia
nyimbo niliyoshirikishwa na Desert Eagle iitwayo #EVERYDAY..... (jus
wanted to inform you that, your favourite artist @Diamondplatnunz won another award from Australia on
#AAMMA_Awards as best Collaboration song of the Year..)"