DENTI wa Chuo cha Ubaharia (EMI) kilichopo Posta jijini Dar, Alpha Mohamed (18) aliyedaiwa kupigwa na Diwani wa Kata ya Sinza kwa ‘l...
DENTI wa Chuo cha Ubaharia (EMI) kilichopo Posta
jijini Dar, Alpha Mohamed (18) aliyedaiwa kupigwa na Diwani wa Kata ya
Sinza kwa ‘leseni’ ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Renatus Pamba, ‘Mr Simple’, bado yu hoi katika Hospitali ya
Mwananyamala, Dar.
Alpha alidaiwa kupigwa Agosti 29, mwaka huu nyumbani kwa diwani huyo
Sinza- White Inn, Dar ambapo chanzo cha kipigo hicho kilisemekana kuwa
ni denti huyo kukutwa akipiga stori na binti wa diwani aliyejulikana kwa
jina moja la Mage.
Ilidaiwa kwamba baada ya vipimo ilibainika denti huyo alipata
maumivu makali kifuani na BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI