Kutoka Chamber Squad mmoja wa wanakundi hilo anayo ya moyoni juu ya picha ambazo zimesambaa kwenye mitandao mbalimbali inayomuonyesh...
Kutoka Chamber Squad mmoja wa wanakundi hilo anayo ya moyoni juu ya
picha ambazo zimesambaa kwenye mitandao mbalimbali inayomuonyesha akiwa
na wasichana ambao sehemu kubwa ya mwili wao iko wazi.
Ameongea na Soudy Brown na kuelezea hali ilivyokuwa mpaka kupigwa kwa
picha hizo ambazo maelezo ya Mez B ni picha ambazo alipiga mwaka jana
wakati anashoot video ya wimbo wa shemeji.
Shemeji.
Shemeji.