Archive Pages Design$type=blogging

AISHA BUI ATAMBIA KAZI YAKE

Stori: Mwandishi Wetu WAKATI filamu yake ya Mshale wa Kifo ikiingia mtaani, Aisha F...

Stori: Mwandishi Wetu WAKATI filamu yake ya Mshale wa Kifo ikiingia mtaani, Aisha Fathi ‘Aisha Bui’ amesema kazi yake hiyo itadhihirisha uwezo alionao kwani hata wazo la kuandika simulizi hiyo ni lake mwenyewe.
Msanii wa Muvi Bongo, ‘Aisha Bui’ akipozi.
“Najua kila mtu ana uwezo wake, lakini unaweza kushindwa kufanya hivyo kwa sababu ya kukosa nafasi, ndiyo maana mimi nimeamua kutumia kampuni yangu kutimiza ndoto zangu, wiki hii Yuneda Entertainment wanasambaza kazi yangu mtaani,”alisema Aisha.
Wasanii wengine walioshiriki filamu hiyo ni Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’, Mzee Korongo, Salim Ahmed ‘Gabo’, Aisha Bui na wasanii wengine kadhaa wakali.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: AISHA BUI ATAMBIA KAZI YAKE
AISHA BUI ATAMBIA KAZI YAKE
http://api.ning.com:80/files/nd24W9ECLPPE9ljOONJR9hga9W3GCqcw0fBMRJmABXec1p-AVEhz1FA8F1fsbjmzR1PIN0VjK3-hdb9X9YOV4rnE89M3BGYt/aisha.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/aisha-bui-atambia-kazi-yake.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/aisha-bui-atambia-kazi-yake.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago