Archive Pages Design$type=blogging

UCHUMBA WA MASOGANGE WATIBULIWA

SIKU chache baada ya kupata uraia wa Afrika Kusini, uchumba wa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mpenzi wake, Louis D...



SIKU chache baada ya kupata uraia wa Afrika Kusini, uchumba wa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mpenzi wake, Louis Dolnard umetibuliwa.
 
Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’
Hali hiyo ilijiri kutokana na madai kuwa kuna wanaume wamepeleka maneno ya kimbeya kwa mpenzi wake huyo yakiashiria kuwa mrembo huyo hajatulia.
Hata hivyo, Agnes amefunguka kuwa kamwe hawezi kuachana na mchumba wake huyo.
“Wanaume wengine sijui wapoje, wanapeleka maneno ya kimbeya kwa mchumba wangu sijui wanataka nini? Kwa taarifa yao siachiki ng’o,” alisema Masogange.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: UCHUMBA WA MASOGANGE WATIBULIWA
UCHUMBA WA MASOGANGE WATIBULIWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiSb4jur0IUSVGds8n0uGyA4XJ__eoQ-ro877SKBerlgJ3gW2LcvOIT8df9sfHljgSgUwGkr8nBuJbMwRsz3mbVOTMGWTTcZ2YJrGrDqg2NPoiOakyC-o-fVCAOZZTKZP-M5HCvHVNGQY8/s1600/MASOGANGE5.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiSb4jur0IUSVGds8n0uGyA4XJ__eoQ-ro877SKBerlgJ3gW2LcvOIT8df9sfHljgSgUwGkr8nBuJbMwRsz3mbVOTMGWTTcZ2YJrGrDqg2NPoiOakyC-o-fVCAOZZTKZP-M5HCvHVNGQY8/s72-c/MASOGANGE5.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/uchumba-wa-masogange-watibuliwa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/uchumba-wa-masogange-watibuliwa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago