Archive Pages Design$type=blogging

Tyga na mpenzi wake aliyemtoa club ya wanaocheza watupu - waachana

Rapper wa Young Money, Tyga na mrembo Blac Chyna aliyekuwa stripper ...

Rapper wa Young Money, Tyga na mrembo Blac Chyna aliyekuwa stripper wamepigana chini ikiwa ni miaka mitatu tangu walipoanza safari ya penzi lao.
Kwa mujibu wa TMZ, Tyga ameachana na msichana huyo ambaye wamezaa nae mtoto wa kiume lakini bado kuna utata kuwa mrembo huyo amegoma kutoa vitu vyake katika nyumba ya Tyga.
Tyga alikosolewa sana na kutabiriwa mwisho mbaya baada ya kuamua kumchukua Blac Chyna katika club maarufu ya wasichana wanaocheza wakiwa watupu.
Wawili hao walikutana mwaka 2011 katika party ya Chris Brown na kutengeneza couple ambayo ilikuwa maarufu.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Tyga na mpenzi wake aliyemtoa club ya wanaocheza watupu - waachana
Tyga na mpenzi wake aliyemtoa club ya wanaocheza watupu - waachana
http://www.timesfm.co.tz/content/uploads/2014/8/13/cache/Black%20Chyna_full.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjKVG2VW1fekfhHtgGKuOrVjWsZqKTfO1-S673nugM7C_iDlH357QUVKVeIMG1ggg4xJM3M9F7JrXzyz2ELEkjpWzHTPwzYozVyQPl-td7Q-jPwY-ANMiBTSLX-cvn5urSS_lRlZswdpHs/s72-c/600full-blac-chyna.png
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/tyga-na-mpenzi-wake-aliyemtoa-club-ya.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/tyga-na-mpenzi-wake-aliyemtoa-club-ya.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago