Meneja wa Diamond, Babu Tale amesema haoni kama kuna beef kati ya msanii wake na Alikiba bali ni ushindani wa kibiashara. “Mimi ...
Meneja wa Diamond, Babu Tale amesema haoni kama kuna beef kati ya msanii wake na Alikiba bali ni ushindani wa kibiashara.
“Mimi sidhani kama Diamond na Ali Kiba wana beef, ni biashara, challenging,” Tale amekiambia kipindi cha Sunrise cha Times FM.
“Sijawahi kuona wanagombana katika maisha yangu. Watu wanaoandika
nyuma wanaandika kwa sababu wanaamua kuandika lakini mwisho wa siku
Diamond na Ali Kiba wote ni wanamuziki. Without challenge Diamond hawezi
kuendelea au Ali Kiba hawezi kuendelea.”
Source: Tovuti ya Times Fm