post-feature-image
HomeBurudani

SHILOLE NIMERUDIANA NA NUH KWA SABABU HIZI AZITAJA

Staa wa wimbo wa Nakomaa na Jiji, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake Nuhu Mziwanda. STAA wa wimbo wa Nakomaa na Jiji...

#MKASITV || S09E01 – M2TheP || VIDEO
Hii ni Kuhusu Mpango wa ndoa ya Justin Bieber na Selena Gomes
New Track;- Sanaa Iko Sokoni - Illmatix feat Fid Q

Staa wa wimbo wa Nakomaa na Jiji, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake Nuhu Mziwanda.

STAA wa wimbo wa Nakomaa na Jiji, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema sababu kubwa ya yeye kurudiana na mpenzi wake waliyegombana, Nuhu Mziwanda ni kuombwa msamaha.

Shilole alisema mpenzi wake huyo aligundua kwamba aliteswa na wivu na kusababisha wagombane hivyo alipotambua kosa lake, aliomba msamaha wakarudiana na mambo yakawa swari.
 
Zuwena Mohamed ‘Shilole’
“Kikubwa ni kwamba ameomba msamaha ndiyo maana na mimi sikuwa na hiyana, nikapatana naye siku chache tu baada ya kugombana,” alisema Shilole.Hivi karibuni wawili hao waliripotiwa kuwa wamegombana na kila mtu kuchukua hamsini zake.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: SHILOLE NIMERUDIANA NA NUH KWA SABABU HIZI AZITAJA
SHILOLE NIMERUDIANA NA NUH KWA SABABU HIZI AZITAJA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8csnQzbCTAVV3v3LxHzmaXBCO1Qp0s51DWrz5kFiVeU_8lZs_MsGIWneJJ03vMx2b4PV8IgvXgkgqiGRPCq7NyMJNDCQCBBHgxJ-deT8geOX9GNQBDdwfhKEIwjmiwIRYuwm2448yscI/s1600/shilo_kiuno.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8csnQzbCTAVV3v3LxHzmaXBCO1Qp0s51DWrz5kFiVeU_8lZs_MsGIWneJJ03vMx2b4PV8IgvXgkgqiGRPCq7NyMJNDCQCBBHgxJ-deT8geOX9GNQBDdwfhKEIwjmiwIRYuwm2448yscI/s72-c/shilo_kiuno.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/shilole-nimerudiana-na-nuh-kwa-sababu.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/shilole-nimerudiana-na-nuh-kwa-sababu.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago