Juma Nature, Roma, Afande Sele, Joslin, Inspector Haroun, Baraka Da Prince na wasanii wengine wanatarajiwa kutumbuiza Jumamosi hii kweny...
Juma Nature, Roma, Afande Sele, Joslin, Inspector Haroun, Baraka
Da Prince na wasanii wengine wanatarajiwa kutumbuiza Jumamosi hii
kwenye East Africa Beach Party itakayofanyika Azura Beach Resort,
Mikocheni jijini Dar.
Show hiyo itapambwa pia na MaDJ wakali wa Tanzania wakiwemo Tass,
Mafuvu, PQ na Zero huku Kenya akiwakilisha DJ Crème na Dj Cross Fade na
Uganda akija DJ Quest.