MTOTO mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa kadri anavyosherehekea siku yake ya kuzaliwa ndivyo hofu ya k...
MTOTO mzuri Bongo
Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa kadri anavyosherehekea
siku yake ya kuzaliwa ndivyo hofu ya kifo inavyozidi kumjaa.
Mtoto mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’.
Odama alifunguka hayo juzi alipokuwa akisherehekea siku yake ya
kuzaliwa katika Ukumbi wa Vijana ambapo alisema kutokana na hofu hiyo
ndiyo maana aliamua kujumuika na watoto yatima.
“Mwenzenu sijui nipoje yaani kila inapofika bethidei yangu najikuta
nikiingiwa na hofu ya kifo, bora niwe nasherehekea na watoto yatima kama
hivi nipate thawabu kwa Mungu,” alisema Odama.