Nazizi ameamua kuongeza urembo kwenye rasta zake kwa kuzikata upande mmoja. Kutokana na muonekano huo mpya, Nazizi anadai kupokea me...
Nazizi ameamua kuongeza urembo kwenye rasta zake kwa kuzikata upande mmoja.
Kutokana na muonekano huo mpya, Nazizi anadai kupokea meseji nyingi kutoka kwa watu wake wa karibu wanaotaka kufahamu kama kazikata zote.
“So here we go #freshcut #Rasta #rootsie #firstlady #barefoot
#general gat a million texts nd msgs asking bout the locks!! They r
safe,” ameandika kwenye picha aliyoiweka Instagram.