Kwa sasa Rihanna mwenye miaka 26 yupo kwenye ziara na rapper Eminem ambayo wameipa jina The Monster Tour. Mtandao wa Hollywood...
Kwa
sasa Rihanna mwenye miaka 26 yupo kwenye ziara na rapper Eminem ambayo
wameipa jina The Monster Tour. Mtandao wa Hollywoodlife kuwa Rihanna
anasema kufanya show na Eminem ni kufanya show na Mshindi wa Ukweli. Hii
imechukuliwa kama diss kwa Drake na Chris Brown kwani ni wasanii
wakubwa waliowahi kuwa na mapenzi na Rihanna.
Rihanna akizungumzia kufanya show na Eminem anasema ni muda mrefu
toka amefanya show na ‘ Real Champion ‘ .Monster tour imeanza August 7.