Archive Pages Design$type=blogging

Magazine yamuomba msamaha 2 Face Idibia baada ya kesi ya Naila milioni 100.

  Icon Weekly magazine walitoa habari kwamba 2 Face Idibia ametoka nje ya ndoa yake na kuanzisha uhusiano na mfanyakazi wa benki....

idibia 
Icon Weekly magazine walitoa habari kwamba 2 Face Idibia ametoka nje ya ndoa yake na kuanzisha uhusiano na mfanyakazi wa benki. Magazine hiyo haikuishia hapo iliendelea kusema kwamba 2 face amempa ujauzito mwanamke huyo.
Habari hiyo ilimchafua 2 face kwasababu yupo ndani ya ndoa na ndio ilikuwa habari kubwa ya magazine kwa kuwekwa mbele ya cover. Baada ya magazine kutoka 2 face alifungua mashtaka dhidi ya magazine hiyo kwa kudai fidia ya Naila millioni 100.
Baada ya magazine kushindwa kuthibitisha habari hiyo wametumia page moja nzima ya tolea jipya kumuomba msamaha 2 face. Japokuwa Idibia hajajibu hadharani kuhusu msamaha huo, taarifa zinasema kwamba amekubali maombi yao.
e

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Magazine yamuomba msamaha 2 Face Idibia baada ya kesi ya Naila milioni 100.
Magazine yamuomba msamaha 2 Face Idibia baada ya kesi ya Naila milioni 100.
http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/08/idibia.jpg?resize=653%2C394
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/magazine-yamuomba-msamaha-2-face-idibia.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/magazine-yamuomba-msamaha-2-face-idibia.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago