post-feature-image
HomeBurudani

MADEE, NAY WAMALIZA BIFU

WASANII waliokuwa wakipigania cheo cha urais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’, na Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, hatimaye wamemaliza...

WASANII waliokuwa wakipigania cheo cha urais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’, na Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, hatimaye wamemaliza tofauti zao baada ya kudumu kwenye bifu kwa muda mrefu.
Mkali wa Bongo fleva,Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’.
Ishu hiyo imejidhihirisha kwenye mbio za Serengeti Fiesta 2013, ambapo muda mwingi wamekuwa wakishirikiana kwenye kazi zao za muziki na hata kupeana lifti na kupanda gari moja jambo ambalo hapo mwanzo lilikuwa haliwezekani.
Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’.
Agosti 23, mwaka huu wasanii hao walitinga jijini Tanga pamoja wakitokea Dar  ambapo Nay wa Mitego ndiye aliyekuwa amepewa lifti kwenye gari ya Madee, bila hiyana Nay alisisitiza kwamba wamemalizana kimyakimya.
“Yale yalikuwa mambo ya jukwaani zaidi, tumeyamaliza, kwa sasa tuko poa,” alisema Nay.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MADEE, NAY WAMALIZA BIFU
MADEE, NAY WAMALIZA BIFU
http://api.ning.com:80/files/BvvAZRNFqnR9MOBxShVGiLYK4nXQox2LNab7hpETOkwp3eowpUekw88r4zhVa8HMqz1yFTZjxt0j8q2vCUv*ap*eSJ8ckkCf/IMG_7809.JPG?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/madee-nay-wamaliza-bifu.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/madee-nay-wamaliza-bifu.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago