Archive Pages Design$type=blogging

KUHUSU ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME

MKONGWE kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ amewalaumu vikali ma...


MKONGWE kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ amewalaumu vikali mastaa wa kiume Bongo kuwa ndiyo chanzo kikubwa cha tasnia kutawaliwa na mastaa wa kike wanaojiuza.
Mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’
Akizungumzia kuhusiana na kuwepo kwa madai ya wasanii wa kike Bongo Movie kujiuza, Cathy alisema hawezi kuweka wazi kama anawajua wahusika au la, isipokuwa tatizo lipo kwa wasanii wa kiume wenye majina ambao hukutana na mademu popote na kuwalazimisha wacheze filamu kutokana na masilahi yao binafsi.
“Penye ukweli lazima tuongee maana sisi zamani haikuwa hivi, msanii anapikwa kambini ndiyo baadaye anapewa nafasi ya kuonekana,
sasa siku hizi sivyo, mfano siku moja tulikuwa maeneo ya uwanja wa ndege kuna mdada akapita ambaye kiukweli muonekano wake siyo kabisa, cha ajabu kuna msanii wa kiume mkubwa tulikuwa naye akamshobokea na kumlazimisha acheze filamu yake,” alisema Cathy pasipo kutaja jina la msanii huyo.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: KUHUSU ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME
KUHUSU ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME
http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxYsw4OrXgoZ-zMNFlY6Jy8MO0SnQj7AFBYsS8qRC31A3jZax7eD3yDao9DNM6S14e7zlp1gfrYlLgOwLtph78c4/cathy1.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/kuhusu-ishu-ya-mastaa-kujiuza-cathy.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/kuhusu-ishu-ya-mastaa-kujiuza-cathy.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago