MTOTO mzuri Bongo Movies, Irene Paul amefungua kinywa na kusema muda wake wa kuzaa umefika hivyo hana budi kusaka mtoto. Mt...
MTOTO mzuri Bongo Movies, Irene Paul amefungua kinywa na kusema muda wake wa kuzaa umefika hivyo hana budi kusaka mtoto.
Mtoto mzuri Bongo Movies, Irene Paul akipozi.
Irene ambaye amesumbua kwenye Filamu ya Majuto aliyoifanya kwenye
kampuni yake ya Krema Productions, alisema kuwa, amejipanga vizuri na
kwamba baba ambaye anatarajia kupata naye mtoto yupo ila muda wa kumtaja
ukifika, atamuanika.
“Kwa kweli kwa sasa nipo tayari kwa mtoto na ninashukuru baba mtarajiwa yupo maana kazi kubwa kwa sisi wanawake ni yupi mume bora wa kuzaa naye lakini kwa upande wangu sina stress na hilo kabisa, yupo,” alisema Irene.