Ikiwa ni zaidi ya mwezi mmoja toka wimbo wa ‘Umebadilika wa Young Killer Msodoki ulipoachiwa July 22, rapper huyo kutoka jiji la miamba ...
Ikiwa ni zaidi ya mwezi mmoja toka wimbo wa ‘Umebadilika wa
Young Killer Msodoki ulipoachiwa July 22, rapper huyo kutoka jiji la
miamba (Rock City) Mwanza ameanza kushoot video ya wimbo huo
aliomshirikisha Banana Zorro.
Safari hii Msodoki amemkabidhi director Hefemi Mikoba ya kuiongoza
video hiyo. Kupitia Instagram rapper huyo wa ‘Dear Gambe’ ameshare picha
akiwa location maeneo ya ufukweni na kuandika: #VIDEO With. .my..big brother @hefemi & @mxcarter.