Teknolojia inazidi kukua na watu hawajaridhika kabisa na kile kinachoonekana duniani kuwa n...
Teknolojia inazidi kukua na watu hawajaridhika kabisa na kile kinachoonekana duniani kuwa ni mageuzi.
Mjasiriamali wa Marekani ambaye ni mzaliwa wa Afrika Kusini,
billionaire Elon Musk ambaye amegundua teknolojia ya mwendo kazi wa hali
ya juu ‘The Hyper loop’ amekuja na wazo la kuunda treni ambayo itakuwa
na mwendo mara mbili ya mwendo kasi wa ndege za kawaida.
Mara tu treni hiyo itakapotengenezwa kwa teknolojia hiyo ya mwendo
kasi, itakuwa na uwezo wakuondoka mara tu abiria watapokuwa ndani ya
treni hiyo kwa idadi inayotakiwa bila kusubiri ratiba maalum kama ilivyo
kwa treni za umeme nchini Marekani.
Elon Musk ameeleza kuwa Soma Zaidi kwa Kubofya Hapa